97. Mwana Kondoo wa Mungu Uichukuaye Dhambi



Mwana Kondoo wa Mungu uichukuaye

dhambi yote, mwana Kondoo wa Mungu,

uturehemu wakosaji,

Mwana Kondoo wa Mungu.


Mwana Kondoo wa Mungu

uichukuaye dhambi yote,

Mwana Kondoo wa Mungu,

uturehemu wakosaji,

Mwanakondoo wa Mungu.


Mwana Kondoo wa Mungu,

uichukuaye dhambi yote,

Mwana Kondoo wa Mungu

Utupe amani yako,

Mwanakondoo wa Mungu. AMEN

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu