3. Sayuni, ufuhi!
Sayuni, ufurahi!
Shangilia yerusalemu!
Yuaja mfalme wako,
Mwenye amani kwako.
Sayuni hufurahi!
Shangilia yerusalemu.
Hosiana, Mesiya
Utubariki sasa.
Jenga ufalme wako
Ulimwenguni mwote.
Hosiana, Mesiya
Utubariki sasa.
Hosiana! Pongezi!
Twakuamkia bwana!
Kiti cha enzu yako
Chasimama milele.
Hosiana! Pongezi!
Twakuamkia Bwana!
Comments
Post a Comment