93. Njoo Msalabani
Sauti na wimbo: Kifransa
N.K. 74, T.B. 165, R.I. 150
Wimbo asili: E.L. Budly, 1854 – 1932
Njoo msalabani ukilemewa,
wewe msafiri!
Kwenye msalaba utapumzika, ndiyo raha.
Wamwona Mwana Kondoo wa Mungu,
akichukua mshahara mkuu
wa makosa yako, akufia
Yeye asiye mkosaji hata,
ahukumiwa, Waona jinsi
akupendavyo ewe mdhambi?
Comments
Post a Comment