91. Ni Damu Idondokayo



Wimbo:  The is a fountain.

R.I. 175, S.S.&S. 129, N.K. 229


Ni damu idondokayo mwilini mwa Yesu,

wakosaji wakioga, husafishwaji kweli.

Bwana wangu Mungu wangu, u uzima wangu,

umekutana na kufa kwa ajili yangu!


Ilimpatia wokovu mwizi kule mtini;

name nisiyemtafuta,

inanisafisha. Bwana wangu


Shaushi aliyemlinda Yesu akiteswa,

naye akamshuhudia:

ni mwana wa Mungu! Bwana wangu


Nipe ulimi mpya Yesu wa kukuimbia,

Babayo tutamtukuza Jina lake pekee.

Bwana wangu

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu