75. Mikononi mwa Mitume
Mikononi mwa mitume
Kazi ilifanywa, si nguvu yao
Walipewa msaada, ndiye Roho.
Wakapata kuona upya tena.
/: Nenda, (kazini tu) nenda,
(siache) kuyasema.:/
Sisi ni badala yao.
Mitume wa zamani
Tupe vipawa vya kazi,
/:tuifanye (tuifanye)
Kazi yako (kazi yako):/
Ututume, ututume, ututume
Tuombe kupata Roho
Tuende kazini.
Si nguvu yetu
Kwa kufanya kazi hii
Njema mno.
Tutakwenda haraka
Kuifanya.
Nenda, nenda …
Vuvia Roho Mtakata
Ndani mioyoni utuhuishe
Tupe moto wa Roho,
Tusimame
Tuwe tayari kwenda
Kutumika.
Nenda, nenda …
Comments
Post a Comment