69. Wito Waja



Wito waja, kwa nchi zote

Wapi washindi wa Yesu

Watakaomfuata kweli?

Sisi tujitie kwake!

Mkubwa nani?

Tushikane

Naye mfalme,  tupatane, tumfuate!


Ana ufalme tangu kale,

Nchi hata mbingu ni zake.

Atuelekeze juu kwake,

Hatahukumiwa tena.

Mkubwa nani? …


Tutangaze utume mwema

Kwa makabila ya kwetu,

Na tuseme pasipo woga

Tuyaonayo kwa Yesu.

Mkubwa nani? …


Haya jamaa tuwe tayari

Sisi watumishi wake,

Yeye ni Mfalme wa majeshi,

Miili na mioyo ni yake

Mkubwa nani? …

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu