35. Tazama, Nawatangazia
Tazama nawatangazia,
Nawatangazia,
Nawatangazia,
Shangwe kubwa,
Shangwe kubwa,
Shangwe kubwa,
Shangwe kubwa. Shangwe,
Shangwe kubwa inayokuja,
Kwa watu wot, makoo yote;
Inayokuja, inayokuja
Amezaliwa leo Bwana
Mwokozi,ndiye Kristo Yesu,
Bwana wa mjini mwa
Daudi,
Wa mjini mwa Daudi!
Comments
Post a Comment