32. Kitoto Mpenzi Lala Wee
Kitoto mpenzi lala wee,
Motto wa mbiguni!
Malaika wakupepea
Ulale kwa raha.
Nasi maskini wachunga
Tunakubembeleza wee.
Ulale, lala
Kitoto wee, ulale.
Maria kwa upendo mkuu
Amlaza vizuri.
Yosefu vizuri.
Yesefu amekaa kimya
Ili asimwamshe.
Na wanyama wa nyumbani
Wamenyamaza kabisa:
Ulale,lala
Kitoto wee, ulale.
Utakapokua Yesu,
Watakuumiza.
Kilimani pa Golgota,
Utasubilishwa.
Kwa hiyo sasa lala tu!
Kwa raha na utulivu!
Ulale, lala.
Kitoto wee, ulale
Comments
Post a Comment