22. Yesu Kitoto Kizuri



Yesu kitoto kizuri

Umetujia watoto

Utupe mioyo mizuri,

Tuwe watoto wa mungu.



Ee Mwanga toka

Mbiguni

Umetufikia sis,

Tupate mwanga wa kweli,

Tuunganishwe na Mungu.


Mpenzi wangu Mtakatifu

Umezaliwa duniani:

Furaha iko kwa wote

Kwa wakubwa na wadogo.


Unibariki, ni mdogo,

Moyo unisafishe,

Ondoa taka ya roho,

Upendo wetu uzidi!

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu