205. Ametwaliwa Rafiki Yetu



1. Ametwaliwa Rafiki yetu hatutamwona tena mwilini. Ameondolewa hapa petu, tunamzika mwilini kaburini.


2. Ametwaliwa tuliyempenda, twajua ni mapenzi ya mungu Hayupo kwani Mungu amwita, aingie kundini pa mungu.


3. Ametwaliwa kutoka kwetu, lakini tutaonana tena. Yu katika furaha ya kweli, na kule tutaimba pamoja!

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu