198. Bariki Yote Yawe Mema



1. Bariki yote yawe mema, yote mbaraka. Watu wan chi za dunia, uwajaze utukufu. Kaa kwetu, Bwana, bariki uamini, we ee ndugu kweli yake Kristo. Jaa utukufu wa Bwana siku zote. Vaa mwokozi ee na kweli yake, haleluya.


2. Nyumba za wote zibariki kwa jina lako takata. Ujaze utukufu wako. Nchi zote za dunia, kaa kwetu, Bwana………….


3. Nyosha mkono ubariki, waliojiunga nawe wakupokee maishani, watunzwe nawe milele kaa kwetu, Bwana……


4. Bwana yatunzwe mambo yote yaliyo mazuri kwako uwapo wote wakuombao, wafanikishe maisha. Kaa kwetu, Bwana……

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu