151. Ee Moyo Wangu, Hima



1. Ee Moyo Wangu, Hima, enenda mbinguni! Ulimwenguni humu hapana pa raha. Mchungaji wetu Yesu achungapo kondoo ni penye raha kuu. Enenda mbinguni!


2. Yeye akupekee, Mungu Baba yako, akuketishe pake katika enzi kuu. Atakuvika nguo za wongofu wa Mungu, akupa raha kuu. Enenda mbinguni!

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu