150. Ahimidiwe Mwamba Wangu
1. Ahimidiwe Mwamba Wangu, ahimidiwe ngome yangu, wema wake wapiti vyote duniani.
2. Aturuzuku kila kitu, atugawia mema kwetu wema wake wapiti vyote duniani.
3. Upendo wake mwingi sana, katutolea Mwana wake, wema wake wapiti vyote
4. Katika Yesu, Mwana wake, twapatanishwa naye Baba, wema wake wapiti vyote duniani.
5. Ashukuriwe Mungu wetu, sifa zote ni zake Bwana wema wake wapiti vyote duniani.
Comments
Post a Comment