143. Utukufu ni wa Mungu
Utukufu ni wa Mungu juu, tukuzo lote, uwezo wote ni wa Mungu, Bwana wetu, Bwana wetu, Mungu ni wa pekee shangilio lake lijaze katika dunia popote, jina lake litukuzwe na watu wote.
Tumshangilie Mungu wetu na Bwana wetu nyimbo za tukuzo tumpeni heshima zote tumwimbie, sifa na tukuzo zampasa zote ni zake Mungu wetu!
Comments
Post a Comment