141. Tumpeni Sifa na Tukuzo
Tumpeni sifa na Tukuzo,
sifa na Tukuzo ni zake,
Ukuu na nguvu zote zimpasaye Mungu,
ni vya Bwana ni vya Bwana na vimtii siku zote.
Tumpe sifa na Tukuzo,
sifa na tukuzo ni zake.
Sifa, Maombi na nguvu zote,
kale yote hata itakayokuja.
Amen. Amen.
Comments
Post a Comment