132. Roho Mtakatifu Mungu Wetu
1. Roho Mtakatifu, Mungu wetu, mtuliza mioyo shidani, watumwa toka mbinguni na mungu Baba na mwana, Roho Mtakatifu Mungu wetu.
2. Roho Mtakatifu, Mungu wetu, uwashe moto wa pendo, tupende neno la Mungu na kupendana na ndugu. Roho mtakatifu…..
3. Roho Mtakatifu, Mungu wetu, jaza tegemeo letu! Pasipo msaada wa Roho hakuna kutegemea. Roho Mtakatifu……
4. Roho Mtakatifu, Mungu wetu, twaomba kwako Ushujaa wa kupigana na adui mpaka tufike kwako juu. Roho Mtakatifu…..
Comments
Post a Comment