105. Leo Shangwe Zitolewe


Leo shangwe zitolewe shujaa atoka

kufani. Mtumishi wa Bwana huyu

aone kushinda kwake shangwe shangwe!

Shangwe, shangwe zitolewe!

Imbeni haleluya!


Mwana Kondoo amekuwa leo samba

mwenye nguvu. Jiwe kubwa halimwezi,

kaburi lamfungukia. Shangwe shangwe


Bwana Yesu umeshinda,

utupe uliyoteka; utengemano

wa Mungu uliopata vitani!

Shangwe, shangwe


Yesu tunakutukuza, twataka utugombee.

Tuweze kushinda nawe,

kwa kuwa sisi tu wako.

Shangwe shangwe

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu