94. Unipe Nguvu Bwana



Unipe nguvu, Bwana nikumbuke

mateso yako yaliyokupata,

kutukomboa tulioanguka katika dhambi.


Umemtii Baba, mpaka kufa kwako

mahali petu ulisulubishwa,

makosa yetu yalikuwa mengi, umetufia.


Wokovu wangu ulinitafuta;

nakuangukia Mwokozi wangu,

nakushukuru nikiitazama huruma yako.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu