90. Mtini Mponya Alipowambwa



Wimbo: Unter dern Kreuze wo Jesus

Starb. N.K. 71, C.H. 259


Mtini Mponya alipowambwa,

ndipo nimwombapo upozi akaniokoa mpenzi.

Mwana wa Mungu.

Mwana wa Mungu Mwokozi wangu.

Mtini Mponya alipowambwa, Mwana wa Mungu


Chini ya mti wenye uchungu,

ndipo nimwombapo usafi,

mara kwa damu kaniosha Mwana wa Mungu.

Mwana wa Mungu.


Akaniondolea manza,

ameingia ndani mwangu,

kwani mtini amenifia. Mwana wa Mungu.

Mwana wa Mungu


Ziwa la damu ya kaisi,

linatosha makosa yote,

laniendesha wokovuni. Mwana wa Mungu.

Mwana wa Mungu


Hicho kijito chenye mali!

U tayari kuzama humo?

Humo utaona uzima! Mwana wa Mungu.

Mwana wa Mungu

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu