82. Mwana Kondoo wa Mungu Unachinjwa



Mwana kondoo wa Mungu

Unachinjwa msalabanai

Wavumilia sana

Ujapodharauliwa,

Waichukua dhambbi,

Tupate kuokoka.

Utuhurumie Yesu.


Mwana Kondoo wa Mungu

Unachinjwa msalabani

Wavumilia sana

Ujapodharauliwa

Waichukua dhambi,

Tupate kuokoa.

Utuhurumie Yesu.


Mwana Kondoo wa Mungu

Unachinjwa msalabani

Wavumilia sana

Ujapodharauliwa

Waichukua dhambi,

Tupate kuokoa.

Tutulize mioyo, Yesu.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu