73. Ni Ujumbe wa Bwana
Ni ujumbe wa Bwana
Haleluya!
Wa maisha ya daima.
Amenena mwenyewe,
Haleluya!
Utaishi ukitazama.
Tazama! Ishi sasa!
Kumtazama Ywsu.
Amenena mwenyewe,
Haleluya!
Utaishi ukitazama.
Ni ujumbe wa wema ,
Haleluya!
Nawe shika, rafiki yangu,
Ni habari ya raha,
Haleluya!
Mwenye kuisema ni Mungu.
Tazama …
Uzima wa daima,
Haleluya!
Kwake Yesu utauona.
Ukitazam tu,
Haleluya!
Wokovu pekee wa Bwana.
Tazama …
Comments
Post a Comment