68. Nitakutukuza
Nitakutukuza,
Nakuimbia
/: wewe uzima wangu,
Kingojeo changu!:/
Umeniokoa kwa mkono wako,
/:nalifuata njia ya upotevuni:/
Wote wakujue upole wako,
/:wakufuate Yesu ninayekupenda:/
Utume mitume waende kote,
/:kwa nguvu yako Bwana wafu wafufuke:/
Huku chini kote,
Dunia nzima
/: lifanywe kundi moja, wewe Mchunga wao!:/
Comments
Post a Comment