64. Yesu Mwokozi



Yesu mwokozi

Mwenye nguvu zote,

Wewe mwana wa Mungu

Nitakupenda, nitakusifu

Uliye mpenzi wangu mkuu


Uzuri wote

Wa nchi na milima unatufurahisha.

Yesu nimzuri kupita hiyo anatufariji sisi.


Jua na mwezi

Hata nyota zote zinang’aa mbinguni.

Yesu ashinda uzuri huo,

Ang’aza watu mioyo.


Uzuri wote hapa na mbinguni

Ni mfano wa Mwokozi

Tumpende Yeye wa utukufu.

Aliyetupenda kwanza.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu