54. Yesu, u Nyota Kubwa



Yesu, u nyota kubwa,

Itokayo wangu wapenda

Kukutumikia leo.

Ukubali vipaji

Niviletavyo mimi.

Ninaleta dhahabu,

Ndio kukutegemea,

Nalo ni paji lako,

Ulilonipa mwenyewe;

Nikushike kwa kweli

Hata majaribu.


Nao uvumba wangu

Ni maombi yangu mimi;

Midomo na mioyo

Isikome kuyatoa.

Uyakubali haya

Kuwa uvumba mzuri.


Nayo majuto yangu

Ndiyo manemane yako;

Kwani hunipokea,

Nikikujutia kweli.

Nasema kwa furaha:

Watwaa matunzo yangu!

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu