53. Tumshukuru, Tumsifu



K:  Tumshukuru, tumsifu

Mungu kwani ni mwema.

W:  Huruma yake ipo,

Mchana na usiku.


K:  Tangaza jina lake,

Mungu wetu wa kweli.

W:   Huruma yake…….


K:  Kajaza maajabu,

Mbinguni duniani.

W:  Huruma yake……..


K:  Kwa uwezo wake

Mkuu,

Ameviumba vyote.

W:  Huruma yake……..


K:  Aliongoza watu,

Ugenini zamani.

W:  Huruma yake…..


K:  Maskini katupa,

Hapa ulimwenguni.

W:  Huruma yake…….


K:  Anawalisha watu, hata

Wanyama pia.

W:  Huruama yake…….


K:  Na tumwimbie Mungu,

Kwani yeye ni mwema.

W:  Huruma yake….

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu