40. Tushangilie Sote

 




K:  Tushangilie sote

W:  Kila mtu.



K:  Mwana wa Mungu

Akaja

W: Hata kwetu


K:  Tumjue Mungu Baba

W:  Wa huruma.


K:  Usiku wa manane

W:  Shangwe kubwa.


K:  Alipozaliwa Kristo

W: Awe Mfalme.


K:  Pale katika mji

W:  Wa Daudi.


K:  Kwenye kondoo hata

Ng’ombe

W: Bethlehemu.


K:  Na akaitwa kwa jina

W:  La ajabu


K:  Nalo Yesu Mwokozi

W: Mungu nasi


K: Hakika ni Mwokozi

W:  Mwenye  enzi.


K: Tupatiwe uzima

W:  Wa milele


K:  Na kumtumikia

Daima

W: Siku zote.


K:  Maana kwake sasa

Tumemwona

W:  Mungu wetu


K:  Na hiyo hata

Roho

W:  Mtakativu


K:  Njoni kwa hiyo

Tumsifu

W:  Bila mwisho

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu