39. Tumezaliwa Mtoto
K: Tumezaliwa motto,
Tumezaliwa motto.
Ni Bwana Yesu,
Atakayewachunga
Kondoo.
W: Amezaliwa motto.
Asante, Bwana Mungu.
/: Ulivyoona kondoo
Wako,huku chini ya
Mbingu,
Hawana mchungaji. :/
K: Wewe Mama Mariamu,
Wewe Mama Mariamu,
Utaziona huzuni nyingi
Atakapotimiza sheria.
W: Wewe Mama Mariumu,
Na umshukuru Mungu,
/: Alivyoona kondoo
Wake, huku chini ya
Mbingu,
Hawana mchungaji. :/
K: Ni furaha yetu kubwa,
Ni furaha yetu kubwa,
Tukitumiwa Mwokozi
Yesu
Ili atupiganie vita.
W: Nifuraha yetu kubwa,
Na tumshukuru Mungu.
/: Alivyoona kondoo
Wake, huku chini ya
Mbingu,
Hawana mchungaji. :/
Comments
Post a Comment