31. Malaika Njooni Toka juu!



Malaika njooni toka juu!

Oye,oye,

tazama, tazama kitoto.

Kwa sauti kuu mwimbieni!

Oye,oye

Tazam, tazama kitoto.

Kwa vinanda na vinubi.

Haleluya! Haleluya!

Nyimbo za Yesu na Maria!


Tungeni nyimbo tamu mno

Oye,oye,

Tazama, tazama kitoto,

Kupita ndege wa aanga.

Haleluya! Haleluya!

Nyimbo za Yesu na Maria.


Imbeni, pigeni panda.

Haleluya! Haleluya!

Nyimbo za Yesu na Maria!


Utamu wa nyimbo zenu

Oye, oye,

Tazama, tazama kitoto,

Umbembeleze, alale.

Haleluya! Haleluya!

Nyimbo za Yesu na Maria.


Watu watengemane,

Oye, oye,

Tazama, tazama kitoto,

Na Mungu tumpe Shukrani!

Haleluya! Haleluya!

Nyimbo za Yesu na Maria.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu