28. Amkeni Upesi



Amkeni upesi

Wachunga kondoo!

Malaika washuka,

Habari watupa:

Furaha karibu,

Mwokozi aja!


Wachungaji njooni,

Tumtafuteni!

Akiwa zizini

Pengine filimbi

Furaha karibu…


Wachungaji hima

Washika njia.

Pamoja wamwona

Mamaye, babaye.

Furaha karibu…..


Wamjua upesi

Mototo wa mbingu.

Wapiga magati

Kumwimbia nyimbo.

Furaha karibu…

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu