27. Amezaliwa Mtoto



Amezaliwa motto

Mjini Bethlehemu.

Nimemchagua yeye,

Niwe mali yake!

Oye,oye, niwe mali yake!

Nataka kuingia

Pendoni mwake yee

Na kumtolea moyo

Hata vyangu vyote,

Oye, oye, hata vyangu vyote.


Kwa moyo wote safi

Nataka kumpenda

Shidani, furahani

Hata kila wasaa.

Oye, oye,hata kila wasaa.


Unikubali hivyo,

Naomba kabisa

Nikuishie wewe,

Leo na daima

Oye, oye, leo na daima!

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu