26. Nchi, Mbingu Furaha!



Nchi, mbigu furaha!

Haleluya!

Amekuja Mwokozi,

Haleluya!

Mwana wake Mungu

Amekuja kwetu,

Mwana amekuja kwetu.


Toka shina la Yese,

Haleluya!

Tawi limechipuka,

Haleluya!

Mwana wake Mungu…


Neno lake mwenyezi,

Haleluya!

Limekuja duniani,

Haleluya!

Mwana wake Mungu…..

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu