25. Mungu ni wa Utukufu



Mungu ni wa utukufu

Panapo mbinguni juu,

Na kwao wampendezao

Duniani raha-kuu.

Sikieni nchi zote

Huko mjini Bethlehemu:

/: Kristo amezaliwa,

Bwana wetu daima.:/


Watu na malaika wote

Kuwa kama maskini.

Akaacha enzi yake,

Akavaa unyenyekevu

Kristo amezaliwa……..


Asifiwe Mwana Mungu

Na Mwokozi wa watu,

Mleta mwanga na uzima

Yesu mshinda kuzimu,

Mfalme wa utengemano

Huko mjini Bethlemu.

Kristo amezaliwa,….

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu