240. Safirini kwa Amani



Safirini kwa Amani, na Mungu wetu awalinde tena majeshi ya mbingu. Yesu akiwaongoza mwafurahiwa kila siku.


Za raha hata za shida. Kwaheri! Kwaheri! Mwokozi wetu mkuu awe nanyi! Tuombapo tusisahau kuombeana daima.


Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu