234. Nifungulie Mlango



1. Nifungulie mlango niingie sayuni. Ndipo nitakapoona raha na furaha kuu. Mwokozi anapokaa Mungu w aUtukufu.


2. Nimekuja kwako Bwana, nakusihi: Njoo kwangu. Unapochagua wewe pana raha ya kweli nakupa moyo wangu uwe kikao chako.


3. Unisaidie Bwana, nijiweke tayari, nyimbo zangu na maombi yakubalike kwkao utakase mwili huu uwe wako, Bwanangu.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu