23. Msifuni Mungu, Wakristo



Msifuni Mungu,

Wakristo,

Aliyetukuka,

Atufungulia mbigu

Kumtoa mwanaume:/


Atokaye kifuani

Pa Mungu babaye,

Alala sasa kitoto

Kitupu, maskini: /


Anyonya kwa mama yake,

Maziwa chakula,

Kwa kweli anatulisha

Chakula cha mbigu.


Ageuza hali yake,

Avaa mwili wetu

Na sisi anatuvika

Uzima wa Mungu.


Akawa mtumwa, na mimi

Naitwa kibwana,

Niwe nduguye na motto

Wake Mungu Baba.;/

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu