229. Usiku Uingiapo
1. Usiku uingiapo, umwaze Mungu Mkuu, aendeshaye dunia kwa mwendo mtulivu.
2. Kwa nini wahangaika usiku na mcahana? Umtwishe huzuni yako aliyekuumba.
3. Kwake haujapunguka uwezo na msaada. Atayatimiza yote aliyoyaanza.
4. Ukamwachie kutenda atakalo kwako! Kwa hiyo ulale raha na kufurahiwa.
Comments
Post a Comment