228. Jua Limekuchwa



1. Jua limekuchwa, waja usiku, twakaa na Yesu rohoni kwetu.


2. Nyota zatokea, ndege watua, kazi imekwisha, mwili walala.


3. Bwana ukumbuke wakuitao, ukawatulize na waumwao.


4. Ndoto za watoto zitoke kwako, tukifumba macho, utubariki!


5. Wasafiri bara na baharini, linda, wazuie na wakosaji!


6. Hata asubuhi tunapoamka, upendezwe nasi, tukikushika.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu