218. Pambazuko la Jua



1. Pambazuko la Jua, mwanga usiopimika, unapotutokea tunaamshwa na moyoni. Giza linafukuzwa na mchana.


2. Umande unanyeshe yatakayo kunyauka, name nione kwako nguvu kuinuka tena, niongozwe rohoni kwa kweli.


3. Asubuhi uzima unaletwa duniani, name ninatamani kufufuka na rohoni, ufufuke na mwili mbinguni.


4. Mchana zinaangazwa njia zote kwa furaha, woga unapokwisha na machozi na mashaka, ndipo nitachanga,ka daima.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu