216. Babangu Kule Mbinguni


1. Babangu kule mbinguni aliye juu ya malaika, /; aangalia njia zangu na kunilinda maisha. ;/


2. Hata unywele kichwani hauanguki ovyo tu /: na siri zote za moyoni. Zajulikana kwa Baba. :/


3. Zamani nisipojua, amekwisha kuandika /: mkononi mwake jina langu , ndio upendo wake mkuu. : /


4. Ee Baba yangu u mwema, name nataka kufanya /: kama malaika wafanyavyo mbinguni kwako milele! :/

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu