210. Kila siku Asubuhi
1. Kila siku asubuhi Yesu anabisha hodi mlangoni kwa wamwombao: Bwana Yesu, njoo kwetu!
2. Tumfungulie milango ya mioyo aingie, Tumwalike kwwa furaha: “Bwana Yesu, njoo kwetu”.
3. Kaa kwetu siku zote, ufukuze maadui, wasiweze kutudhuru sisi tulio wako.
4. Uwe mchunga wetu mwema, utulishe malishoni, tukutumaini wewe leo na siku zote.
5. Kweli Yesu atulisha, anatuongoza leo. Ni furaha yetu kubwa . Yunakwenda na Yesu.
Comments
Post a Comment