206. Kuna Nchi Nzuri Mbali Sana
1. Kuna nchi nzuri Mbali Sana. Wako watu wema, wasimama, waimba vizuri sifa zake mwokozi, nasi duniani twamtukuza.
2. Njooni kwa Nchi hii njooni sasa! Mbonamwasimama mashakani!? Tuache makosa. Yanamchukiza Bwana. Tutaketi kwa salama.
3. Machozi hapana, wala hamu, mbele yake Baba mapenzi tu. Utaona raha Utapewa kilemba kuvikwa na wale wa mbinguni!.
Comments
Post a Comment