197. Ukimpata Mwenye Moyo


1. Ukimpata mwenye moyo mwaminifu daima, umepata kito bora, wajaliwa na Mungu. Japo nimo shidani, hali yangu ya heri.


2. Ukiingiwa na taabu na kupatwa na msiba, mwenzi wako mwaminifu atakutia moyo. Japo nimo shidani


3. Haja yake mwenzi huyu kukusaidia tu. Taabu yako ndiyo yake, hakuachi msibani. Japo nimo shidani


4. Rafiki w aduniani, mali zitapotea, mwenzi wako mwaminifu atakaa kwa mpenziwe. Japo nimo shidani……………


5. Mtu kuwa na mwenzake mwaminifu daima, ndiyo hali duniani ipitayo kabisa. Japo nimo shidani.


Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu