195. Mungu Awe Naye Daima


1. Mungu awe naye daima, hata tuonane tena, awachunge kwa neema. Mungu awe nanyi daima! Na tukionana awepo, na tuonane kwake! Na tukioanan awepo, Mungu awe nanyi daima!


2. Mungu awe nanyi daima, awafunike mabawa, awalishe, awakuze. Mungu awe nanyi daima! Na tukionana awepo…


3. Mungu awe nanyi daima, awaonye kw aupendo kaeni na kupatana. Mungu awe nanyi daima! Na tukionana awepo…………


4. Mungu awe nanyi daima, awe kwenu na rehema zaeni matunda mema! Mungu awe nanyi daima! Na tukionana awepo……………


Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu