193. Ndoa Yetu Nzima
1. Ndoa yetu nzima simika, Yesu! Usiku na mchama uwepo kwetu. Leo tuna raha, wewe watupa. Ndoa yetu Bwana ndiwe Baraka
2. Atoka kijana,ataka mchumba siku zinapita za kupimana. Leo twapatana pamoja kukaa ndoa yetu……………………….
3. Vyote hapa chini vinakaa muda, vyote vinaoza, tena vyachakaa pendo la dunia nalo huchakaa. Ndoa yetu…………..
4. Kaa kwetu Bwana, kutukagua, pendo letu sisi lisichakae; hivi natukae na Baraka tu. Ndoa yetu………
5. Kana arusini ulialikwa, walivyoishiwa ukaongeza, nasi shida zetu utazishinda. Ndoa yetu………………
Comments
Post a Comment