194. Yesu Nitakuimbia
1. Yesu nitakuimbia kw arehema zako zote. Baraka nyingi sana nimepata kwako Bwana. Wewe ulinikomboa kwa maumivu yako.
2. Yesu nitakuimbia hapa siku zangu zote. Nitakapokumbuka, neema na huruma zako. Yesu nitakuimbia, sababu wanilinda.
3. Yesu nitakuimbia katika maisha yangu. Napenda kuingia Bwana wangu unapokaa, nikuimbie na malaika milele na milele.
Comments
Post a Comment