188. Sioshwi Dhambi Zangu



1. Sioshwi dhambi zangu, bila damu yake Yesu. Hapendezewqi Mungu, bila damu yake Yesu. Hakuna kabisa dawa ya makosa ya kututakasa, ila damu yake Yesu.


2. La kunisafi sina, ila damu yake Yesu. Wala udhuru tena, ila damu yake Yesu. Hakuna kabisa…….


3. Sipati patanishwa, bila damu yake Yesu. Hukumu yanitisha, bila damu yake Yesu. Hakuna kabisa……..


4. Sipati tumaini, bila damu yake Yesu. Wema wala amani,  bila damu yake Yesu. Hakuna kabisa.


5. Yashinda ulimwengu, hiyo damu yake Yesu. Na kutufikisha juu, hiyo damu yake Yesu. Hakuna kabisa……………..


6. Twaimba, “Utukufu una damu yake Yesu” milele twaisifu hiyo damu yake Yesu. Hakuna kabisa.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu