185. Bwana Wetu Ametoa



1. Bwana wetu ametoa mara moja msalabani mwili na maisha yake kwa wokovu mkamilifu


2. Ndiye kafara ya kweli itoshayo siku zote; kima chake ni kikubwa hakiwezi kuzidishwa.


3. Mbinguni atuombea akiwa kitini pake. Na hapa atubariki, tukila karamu yake.


4. Twaonyesha kufa kwkae mpaka atakaporudi; tunaungana na Yeye kuwa viungo vyake tu.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu