182. Nuru ya Rohoni



1. Nuru ya rohoni  ni Bwana Yesu. Nakuomba sana niangazishe; ukanitazame kwa huruma tu, ukanitulize mimi maskini.


2. Futa dhambi zangu kwa damu yako. Hasira ya Mungu iniondoke. Machubuko yako, hata mateso, niyawaze vema rohoni mwangu.


3. Nakutumaini peke yako tu, niwe mtumwa wako pote nilipo utanikubali sina mashaka! Nitakushukuru pasipo mwisho.


Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu