181. Enyi Wakristo, Kumbukeni
1. Enyi Wakristo, kumbukeni hivi; sisi tunaokula mkate mmoja tunaokunywa kinywaji kimoja, ni mwili mmoja.
2. Tukipatana vema kama ndugu, tukiwasaidia wenye shida, tukiwashika walio wanyonge twamtii Bwana.
3. Tukikumbuka pendo lake kubwa, tutapendana nasi mpaka kufa. Ee, Bwana, utimize shauri hili vizuri kwetu.
Comments
Post a Comment