18. Umati wa Yesu
Umati wa yesu, njooni kwa furaha
Msikie habari ya sikukuu!
Mwana wa Mungu
Azaliwa kwetu.
Njooni tumtukuze!
Njooni tumtukuze!
Njooni tumtukuze!
Yesu Kristo!
Rehema zake Mungu
Ni nyingi,alimtuma
Mwana wake Yesu,
Awakomboe watu,
Kwetu ni kwa Mungu,
Kwetu kwa Mungu.
Na watu wakaao
Katika giza wote
Wanakungojea
Wewe Mwokozi wetu,
Na kukufurahia
Uliyetukomboa.
Yesu Bwana wetu
Tunakutukuza.
Mbinguni malaika
Wamwimbia wote
Na wote wakaao kwake
Mungu.
Mungu ni mkuu,
Aliyetupenda
Njooni tumtukuze!
Tumsifu mwokozi yesu
Siku zote,
Aliyezaliwa kwetu leo.
19. Usiku Mtakatifu!
Usiku mtakatifu!
Wengine walala
Wakeshao ni yosufu tu
Na Maria waliomlinda
Yesu mwana mzuri
Yesu mwana mzuri.
Comments
Post a Comment